.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Julai 2017

ARSENAL KUMTEGA THOMAS LEMAR KWA DAU LA PAUNDI MILIONI 50

Timu ya Arsenal itawasilisha ofa ya tatu kwa Monaco katika kujaribu kumnasa mshambuliaji Thomas Lemar kwa dau la paundi milioni 50.

Baada ya kunasa saini ya mshambuliaji Alexandre Lacazette kutokea Lyon, Arsenal sasa inalenga kukamilisha mpamgo wa kumnasa mchezaji huyo Mfaransa.
   Alexandre Lacazette akiwa na Thomas Lamar katika majukumu ya timu ya taifa ya Ufaransa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni