.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Julai 2017

MANCHESTER CITY VITANI NA REAL MADRID KUMUWANIA KYLIAN MBAPPE

Vita vya kumuwania mshambuliaji kinda Kylian Mbappe mwenye miaka 18 imeongezeka huku Manchester City ikijipanga kuizidi maarifa Real Madrid ili kumtwaa nyota huyo wa Monaco.

Manchester City imefungua mazungumzo na mchezaji Mfaransa katika kufikia makubaliano yatakayoizima rekodi ya paundi milioni 89 alizonunuliwa Paul Pogba kwenda Manchester United

Timu ya Real Madrid ya Hispania imekubali kutoa kitita cha paundi milioni 160 na kumpatia Mbappe kumpa mkataba wa miaka sita lakini Manchester City imekataa kusalimu amri katika mbio hizo.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni