.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Julai 2017

PHILIPPE COUTINHO AMESHAAFIKIANA NA BARCELONA KUHUSU MASLAHI YAKE

Redio moja ya Hispania imesema kuwa Philippe Coutinho amekubaliana kuhusu maslahi yake na Barcelona ili kuhamia ligi ya La Liga msimu huu wa usajili.

Iwapo ni kweli sasa jukumu limebakia kwa Barcelona kukamalizana na Liverpool baada ya dau lao la paundi milioni 72 kukataliwa ili kumnasa Mbrazili huyo.

Liverpool imefikia makubaliano mapya na Coutinho msimu uliopita wa kukaa hadi mwaka 2022 huku kocha Jurgen Klopp akisema bado anahitaji mchango wa mchezaji huyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni