.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Julai 2017

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AREJEA NCHINI AKITOKEA UINGEREZA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika Ndege ya Serikali leo mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum na kupokelewa na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​salimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali ailipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudhi wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum
​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​salimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein waki​salimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa mapokezi yao leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum. [Picha na Ikulu.] 25/07/2017

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni