Johanna Konta anapaswa kumshinda
bingwa wa mara tano Venus Williams iwapo anataka kuwa Muingereza wa
kwanza mwanamke kutinga fainali ya Wimbledon baada ya miaka 40
kupita.
Mchezaji huyo namba sita duniani,
Konta, 26, atamvaa Mmarekani Willimas, 36, hii leo katika mchezo wa
nusu fainali.
Hii ni mara ya kwanza tangu Virginia
Wade mwaka 1978 ambapo Uingereza ilikuwa na mchezaji mwanamke
aliyefika hatua ya nusu fainali Wimbledon.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni