.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Julai 2017

KASUKU ASAIDIA KUMTIA HATIANI MWANAMKE ALIYEMUUA MUMEWE

Mwanamke mmoja nchini Marekani, ametiwa hatiani kwa kosa la kumpiga mumewe huko Michigani na kisha naye kujaribu kujiua katika tukio lililoshuhudiwa na ndege aina ya Kasuku.

Mwanamke huyo Glenna Duram alimuua mumewe Martin Duram kwa kumpiga risasi tano mbele ya Kasuku huyo aliyetoa ushahidi wa kunukuu sauti ya mumewe akimsihi mkewe asimpige risasi.

Mke wa zamani wa marehemu Duram, ameiambia mahakama kuwa kasuku huyo alisikia maneneo hayo ya mwisho ya marehemu Duram na alikuwa akiyarudia kwa kuiga sauti yake.
                         Marehemu Martin Duram akiwa pamoja na mkewe Glenna Duram

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni