.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 17 Julai 2017

LEWIS HAMILTON AMSHINDA MBIO ZA BRITISH GRAND PRIX

Dereva wa mbio za Langalanga Muingereza Lewis Hamilton amshinda mbio za British Grand Prix na kuweka rekodi ya kushinda mara tano taji hilo.

Dereva huyo wa Mercedes alisawazisha rekodi ya kushinda mara nne na mfululizo na kuwafikia Scot Jim Clark na Mfaransa Alain Prost, huku akishinda mara ya kwanza mwaka 2008 akiwa na McLaren.

Hamilton amepunguza tofauti ya pointi dhidi ya dereva wa Ferrari, Sebastian Vettel, na kubakia pointi moja huku Mjerumani huyo tairi la gari lake likipasuka na kuishia kuwa wasaba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni