.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 17 Julai 2017

ROGER FEDERER AWEKA REKODI YA KUTWAA TAJI LA WIMBLEDON

Roger Federer amekuwa mchezaji tenesi wa kwanza wamaume kushinda taji la Wimbledon mara nane na kufanya rekodi yake kufikia mataji 19 Grand Slam

Raia huyo wa Uswizi alimfunga Marin Cilic wa Croatia kwa seti 6-3 6-1 6-4 katika mchezo ambao Cilic alikuwa na plasta katika mkono wake wa kushoto na alibubujikwa na machozi katika seti ya pili.

Federer, 35, alimaliza pambano hilo kwa kutumia saa moja na dakika 41 na kutwa taji la Wimbledon kwa mara ya kwanza tangu 2012.
                            Roger Federer akinyanyua mikono juu kushangilia ushindi wake
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni