.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Julai 2017

MANCHESTER CITY YAICHAKAZA REAL MADRID MAREKANI

Manchester City imeichakaza Real Madrid kwa magoli 4-1 katika mchezo uliopigwa leo kwenye dimba la LA Coliseum, Jijini Los Angeles, Marekani hii leo.

Katika mchezo huo magoli ya Manchester City yalifungwa na Nicolas Otamendi, Raheem Sterling, John Stones na Brahim Diaz huku Real Madrid ikipata goli kupitia Oscar Rodriguez.

Nicolas Otamendi alikuwa wa kwanza kucheka na wavu muda mchache tu baada ya kuanza kipindi cha pili, Raheem Sterling akafunga la pili, John Stone la Tatu na Brahim Diaz la nne.
                 Mshambuliaji Raheem Sterling akiruka juu kushangilia goli alilofunga 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni