.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Julai 2017

NEYMAR ATIBUA ZIARA YA MANCHESTER UNITED MAREKANI

Timu ya Barcelona imetibua ziara ya Manchester United Marekani katika mchezo wa mwisho baada ya kuifunga goli 1-0.

Katika mchezo huo Barcelona ilipata goli pekee katika dakika ya 31, kupitia kwa Mbrazil Neymar kufuatia makosa ya beki Antonio Valencia.

Manchester United ilihangaika kutengeneza nafasi za kusawazisha goli hilo ila ilizidiwa maarifa na Barcelona waliomiliki mpira kwa muda mwingi.
                         Antonio Valencia akivuta mkono na Neymar na kuelekea kuzidiwa 
              Antonio Valencia akiwa ameanguka chini na kutoa nafasi kwa Neymar kufunga goli 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni