.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 19 Julai 2017

SANCHEZ AENDELEA KUPONDA RAHA NA FAMILIA YAKE HUKU HATMA YAKE IKIWA HAIJULIKANI

Alexis Sanchez ameendelea kufurahia mapumziko yake katika muda uliobakia kwa kukodi ndege binafsi akiwa na familia yake.

Mchezaji huyo raia wa Chile ambaye anataka kuondoka Arsenal, amekuwa akisisitiza kutaka kuondoka Emirates.

Hata hivyo kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amemuambia Sanchez anapaswa kubaki kwenye klabu hiyo ili kuipatia mafanikio anayotaka kuyatafuta katika klabu nyingine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni