.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Julai 2017

WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI DED WA MBOZI KWA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA

PMO_5114
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Umma, Viongozi wa Dini na Viongozi wa Taasisi Binafsi wa wilaya ya Mbozi kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Vwawa wilayani Mbozi Julai 23, 2017. Kulia ni mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Limdi, Erasto Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5127
Cashier wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi Bahati Chomoka pia amesimamishwa.kazi.
PMO_5129
DT wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Simon Noeli ambaye pia amesimamishwa kazi.
PMO_5133
DED wa Mbozi, Elisey Mgoyi mmoja wa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi ambao Waziri Mkuu aliagiza wasimashwe kazi na wafanyiwe uchunguzi na TAKUKIURU.
PMO_5191
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa jengo la Mkuu wa Mkoa wa Songwe nje kidogo ya mji wa Vwawa mkoani Songwe Julai 23, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5264
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia kwake) wakitazama Kimondo wakati walipotembelea Kituo cha Mambo ya Kale cha Mbozi mkoani Songwe Julai 23, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5316
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa wilaya ya Mbozi wakati walipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kyalele wilayani humo kuhutubia mkutano wa hadhara, Julai 23, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5356
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama nguo za batiki wakati walipotembelea banda la wanawake wajasiriamali wa Mbozi kabla ya mkutano wa hadahara uliohutubia wa Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Nalyelye wilayani Mbozi, Februari 23, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni