.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 21 Julai 2017

WEST HAM KUMRUDISHA JAVIER HERNANDEZ 'CHIHARITO' UINGEREZA


Timu ya West Ham imekubaliana na klabu ya Ujerumani ya Bayer Leverkusen kumnunua mshambuliaji raia wa Mexico, Javier Hernandez, kwa kitita kwa paundi milioni 16.

Mchezaji huyo aliyewahikuichezea Manchester United sasa nakwea pipa kwenda London kukamilisha masuala yake binafsi pamoja na kufanyiwa vipimo.

Wakati huo huo mshambuliaji wa Austria, Marko Arnautovic yupo njiani kufanyiwa vipimo vya afya yake katika saa 48 zijazo baada ya West Ham kukubalina na Stoke City.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni