.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Agosti 2017

CRISTIANO RONALDO AIFUNGIA REAL MADRID BONGE LA GOLI

Cristiano Ronaldo ameifungia Real Madrid moja ya goli zuri kabisa wakati klabu hiyo ikiibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Fiorentina na kutwa kombe Santiago Bernabeu.

Katika mchezo huo Real Madrid ilikuwa ya kwanza kufungwa goli kupitia kwa mchezaji wa Fiorentina Jordan Veretout.

Ronaldo anayetumikia adhabu katika La Liga alitoa pande Borja Mayoral aliyefunga goli la kusawazisha, na kisha baadaye naye kufunga goli la pili kwa shuti kali.
                     Cristiano Ronaldo akijipinda na kuachia shuti lililoipa ushindi Real Madrid
                              Wachezaji wa Real Madrid wakinyanyua kombe juu kwa furaha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni