.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Agosti 2017

MABINGWA WA KOMBE LA EFL MAN UTD KUANZA NA BURTON ALBION

Mabingwa wa Kombe la EFL, timu ya Manchester United itaanza kulitetea kombe hilo ikivaana na klabu ya Burton Albion katika dimba la Old Trafford.

Droo iliyofanyika leo Beijing kwa matakwa ya wadhamini kinywaji cha Carabao, Liverpool itavaana na wapinzani wao wa Ligi Kuu ya Uingereza timu ya Leicester City.

Manchester City wao watalazimika kwenda kuvaana na West Brom, huku timu ya Arsenal ikikutana na timu ya Doncaster Rovers.
                  Wadhamini wa Kombe la EFL kinywaji cha kuongeza nguvu cha Carabao

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni