.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 3 Agosti 2017

MCHEZAJI NYOTA MBRAZIL NEYMAR ATUA UFARANSA KUFANYIWA VIPIMO

Nyota wa Brazili Neymar anatarajiwa kutambulishwa Paris Saint-Germain baada ya uhamisho ulioweka rekodi wa paundi milioni 198 utakao kamilika wiki hii baada ya kufanyiwa vipimo.

Mchezaji huyo amewasili Ufaransa katika mji wa Portugal akiwa na ndege binafsi jumatano baada ya kuhudhuria kwa muda mazoezi ya Barcelona kuwaga wachezaji wenzake.

Neymar atatia saini ya kujifunga miaka mitano katika dili la mshahara wenye thamani ya paundi 596,000 kwa wiki baada ya kukatwa kodi ya paundi milioni 45 kwenye uhamisho.
             Mbrazili Neymar akishuka kwenye gari kuelekea kwenda kufanya vipimo
                Neymar akielekea kwenda kufanya vipimo kukamilisha uhamisho wake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni