.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Agosti 2017

NAIBU WAZIRI AFRIKA KUSINI APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUSHAMBULIA MWANAMKE

Naibu Waziri wa Elimu wa Afrika Kusini Mduduzi Manana amefikishwa mahakamani akikabiliwa na shtaka la kumshambulia mwanamke kwenye klabu ya usiku.

Naibu waziri huyo ameachiwa kwa dhamana ya dola 375 baada ya kusomewa shtaka lake, akingojea uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.

Manana ameomba msamaha kwa kitendo chake hicho cha aibu, na kusema alichokoza lakini alipaswa pia kujizuia hasira zake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni