.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Agosti 2017

FLOYD MAYWEATHER AJIFUA VILIVYO NA KUMCHIMBIA MKWARA MCGREGOR

Bondia Mmarekani Floyd Mayweather amemuonya mpinzani wake Conor McGregor kuwa kujiamini kwake hakutamsaidia kitu, huku akionyesha mikwara mizito katika mazoezi yake.

Mayweather amesema kuwa baada ya tambo za maneno kwa mwaka sasa yupo tayari kuzidunda na McGregor katika pambano lao Agosti 26.

Bondia Mayweather ameonyesha uwezo wake wa kupigana mbele ya vyombo vya habari kwenye gym yake anayoimiliki.
                               Bondia Floyd Maywether akijifua mbele ya vyombo vya habari
Bondia Maywether akipiga ngumi kwa mkono mmoja huku mkono mwingine ukiwa umeshikilia glasi yenye kinywaji

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni