Maandamano yamezikumba kaunti za
Siaya, Homa Bay na Migori wakati wafuasia wa muungano wa NASA
wakipinga kutangazwa mshindi rais Uhuru Kenyatta.
Waandamanaji waliwasha moto
barabarani wakipambana na polisi usiku wa jana pamoja na leo asubuhi.
Katika kaunti ya Siaya mwili wa mtu
aliyepigwa risasi na polisi wakati wa ghasia hizo ulikuwa bado
umelala barabarani leo asubuhi.
Baadhi ya barabara zilikuwa bado
zimefungwa mapema leo asubuhi baada ya maandamano hayo ya jana usiku.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni