.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Agosti 2017

POLISI NCHINI HISPANIA WAWAUWA WATUHIMIWA WATANO WA UGAIDI


Polisi nchini Hispania wamewapiga risasi na kuwauwa watuhumiwa watano wa ugaidi waliovalia mikanda ya milipuko wakati watu saba wakijeruhiwa na Audi kusini mwa Barcelona.

Tukio hilo limetokewa ikiwa zimepita saa nane tangu watu 13 kuuwawa kwa kugongwa na gari huko Las Ramblas na kwa sasa polisi wanamtafuta mzaliwa wa Morocco Moussa Oukabir, 18.

Wahusika wakuu watano wa mashambulizi hayo ya kigaidi yanayotokana na itikadi kali wameuwawa na watatu wamekamatwa akiwamo kaka wa Moussa.
Gari aina ya Audi iliyokuwa ikitumiwa na watuhumiwa wa ugaidi watano waliouwawa ikiwa imepinduka
        Mwili wa mmoja wa watuhumiwa wa ugaidi aliyeuwawa kwa kupigwa risasi ukiwa barabarani
            Kijana mzaliwa wa Morocco Moussa Oukabir, 18, anatafutwa na polisi wa Hispania


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni