.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Agosti 2017

WAZIRI MKUU AWATAKA WATANZANIA KUIMARISHA UZALENDO

PMO_9421
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa .kulia akisalimiana na Eshe Hemed Rashid Mwanafunzi wa Kitanzania anaye Soma fani ya Udaktari nchini Cuba, katikati ni Nasra Sheikhan. Waziri Mkuu alikutana na wanafunzi wa Kitanzania wanao soma Udaktari Cuba katika Hoteli ya Nacional de Cuba jana August 20/2017
PMO_9463
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katikati akiongea na wanafunzi wanaosomea fani ya Udaktari nchini Cuba , katika Hotel ya Nacional de Cuba jana August 20/2017 kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Cuba, Bwana Goodchance Tarimo, kulia ni Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Nnchini Canada na Cuba.Bwana Leonce Bilauri
PMO_9482
Waiziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi Wakitanzania wanao somea fani ya Udaktari Nchi Cuba .Waziri Mkuu yupo Havana Cuba kwa Ziara ya Kikazi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni