.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 23 Septemba 2017

ALVARO MORATA AFUNGA MAGOLI MATATU CHELSEA IKIUWA

Alvaro Morata amefunga magoli matatu yaani hat-trick na kuisaidia Chelsea kuifunga Stoke City magoli 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Kikosi hicho cha Antonio Conte kilipata goli la kwanza kupitia kwa Morata, kisha Stoke City wakaizaiwadia tena Chelsea goli la pili lililofungwa na Pedro.

Morata akafunga goli la tatu akikimbia umbali wa nusu uwanja na kumalizia vizuri kwa kuutumbukiza mpira pembeni na kisha akakamilisha hat-trick.
  Mchezaji mpya wa Chelsea Alvaro Morata akifunga moja ya magoli yake matatu katika mchezo huo
   Kipa wa Chelsea Courtois akianguka vibaya baada ya kugongana na beki wake Garry Cahill 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni