.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 23 Septemba 2017

MANCHESTER CITY YAIPIGA MKONO CRYSTAL PALACE

Vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City ilibidi wawe wastahamilivu kabla ya kufanikiwa kuinyong'onyeza Crystal Palace na kuibuka na ushindi wa magoli 5-0.

Manchester City ilibidi ingoje hadi karibu mwisho wa nusu ya kwanza pale Leroy Sane kwa kufunga goli safi lililoamsha ari ya ushindi.

Raheem Starling aliifungia Manchester City magoli mawili, kabla ya Sergio Aguero kutupia goli na nne na Fabian Delph akifunga goli la tano.
                Leroy Sane akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza la Manchester City 
        Raheem Sterling akifunga moja ya magoli yake kati ya mawili aliyoifungia Manchester City

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni