.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Septemba 2017

LEICESTER CITY YAITOA NJE LIVERPOOL KOMBE LA CARABAO

Shambulizi kali lililofanywa na Islam Slimani limeisaidia Leicester City kupata ushindi katika dimba la King Power dhidi ya Liverpool na kutinga raundi ya nne ya kombe la Carabao.

Mshambuliaji huyo raia wa Algeria shuti lake la kushoto lilijaa katika kona ya juu ya lango la goli baada mchezaji aliyetokea benchi Shinji Okazaki kuifungia goli la kwanza.

Magoli hayo mawili yalipatikana katika kipindi cha pili baada ya Liverpool kutawala kipindi cha kwanza huku Philippe Coutinho kuonyesha kiwango kizuri kabla ya kupumzishwa.
                    Mshambuliaji Shinji Okazaki akiifungia Leicester City goli la kwanza
                               Islam Slimani akiachiashuti lililoza goli la pili la Leicester City

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni