.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Septemba 2017

TETEMEKO LAUWA WATU 250 WAKIWEMO WATOTO 20 NCHINI MEXICO

Tetemeko kubwa la ardhi limeikumba Mexico na kuua watu karibu 250 na kuangusha makumi ya majengo katika mji mkuu wa Mexico City.

Rais Enrique Peña Nieto amesema zaidi ya watoto 20 wamekufa na 30 hawajulikani walipo baada ya jengo la shule kuanguka.

Tetemeko hilo la ardhi lenye ukubwa wa alama 7.1 limesababisha uharibifu mkubwa katika majimbo ya jirani na Mexico City.
                Jengo la ghorofa likiwa limetiti kufuatia kutokea kwa tetemeko nchini Mexico
                   Waokoaji wakiendelea na shughuli ya uokoaji kwa kufukua vifusi vya majengo
 Miili ya watu waliokufa kwa tetemeko ikiwa imelazwa na kuwashiwa mishumaa katika kuomboleza

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni