.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Septemba 2017

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA PAMOJA CHA FORODHA CHA NAMANGA

PMO_9064
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumzana wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Longido mkoani Arusha Septemba 21, 2017.
PMO_9208
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga wilayani Longido wakati alipowasili kituoni hapo, Septemba 21, 2017 kukagua shughuli za kituo hicho Septemba 21, 2017.
PMO_9245
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga wilayani Longido kituoni hapo, Septemba 21, 2017 wakati alipokagua shughuli za kituo hicho Septemba 21, 2017.
PMO_9278
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo la Namanga wilayani Longido wakati alipotembelea Kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga Septemba 21, 2017. Kulia wake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni