.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 17 Oktoba 2017

RIYAD MAHREZ AIOKOA LEICESTER CITY NA KUISAIDIA KUAMBULIA SARE

Riyad Mahrez ameiokoa Leicester City kuambulia pointi nyumbani baada ya kufunga goli la kusawazisha katika dakika ya 80 na kufanya matokeo kuwa 1-1 dhdi ya West Bromwich Albion.

Wageni West Bromwich Albion walikuwa wa kwanza kufunga goli kupitia mpira wa adhabu uliopigwa na Nacer Chadli na kuonekana kwamba huenda goli hilo lingewapa ushindi.

Lakini Mahrez aliyepoteza nafasi nyingi za kufunga wakati ambapo matokeo yakiwa 0-0 aliifungia Leicester City goli la kusawazisha likiwa ni goli lake la kwanza katika msimu huu.

                      Mpira wa adhabu uliopigwa na Nacer Chadli ukielekea kujaa wavuni
                                       Riyad Mahrez akifunga goli la kusawazisha la Leicester City

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni