.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 17 Oktoba 2017

WAMILIKI WA TIMU ZA NFL KUTAFUTA UFUMBUZI WA MGOMO WA KUPIGA GOTI

Wasimamizi wa NFL nchini Marekani wanajaribu kufikia maafikano na wachezaji wanaopinga kwa kupiga magoti wakati wa wimbo wa taifa, wakati wamiliki wa timu za mchezo huo watakapokutana.

Mchezaji Colin Kaepernick alikuwa mchezaji wa kwanza kususia kiani wimbo wa taifa wa Marekani Agosti 2016 kwa kukaa chini kabla ya kubadili aina ya ugomeaji kwa kupiga goti katika kupinga ubaguzi.

Wachezaji wengi wa mchezo huo wa soka la Kimarekani walifuatia kuiga aina hiyo ya kugomea wimbo wa taifa kwa kupiga goti baada ya kukosolewa na rais Donald Trump wa Marekani mwezi uliopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni