.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 19 Novemba 2017

CHELSEA YAICHAKAZA WEST HAM MAGOLI MANNE BILA MAJIBU

Timu ya Chelsea imepata ushindi rahisi ugenini dhidi ya West Ham baada ya kuifunga magoli manne bila majibu na kuzidisha shinikizo la kutimuliwa kocha Tony Pulis.

Katika mchezo huo Alvaro Morata alifunga goli lake la nane katika Ligi Kuu ya Uingereza kwenye msimu huu baada kukutana na mpira uliorudi baada ya kipa Ben Foster kupangua shuti la Eden Hazard.

Eden Hazard alifunga goli la pili akimegewa pande la kiufundi na Morata na kisha baadaye Marcos Alonso akafunga goli la tatu na Hazard tena akatupia goli baada ya kupata pasi tamu ya Cesc Fabregas.
  Mshambuliaji mpya wa Chelsea Alvaro Morata akiwa amepiga mpira uliozaa goli la kwanza
                Marcos Alonso akifunga goli la tatu akiwa katika eneo gumu kupachika goli 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni