Nyota wa soka Cristiano Ronaldo
amesherehekea kupata mtoto wa nne, ikiwa ni saa chache tu kupita
tangu kuibuka ka tuhuma za kusaliti mahusiano yake.
Ronaldo, 32, amepandisha picha ya
mpenzi wake Georgina Rodriquez, 22, akiwa amemkumbatia binti yake
wakiwa na mtoto wake mkubwa wa kiume Cristiano Jr.
Ameandika kwenye ukurasa wake wa
Instagram:'Alana Martina ndio amezaliwa muda si mrefu, wote Geo
(mama) na Alana (mtoto) wanaendelea vizuri !. Tunafuraha kubwa'.
Ronaldo akiwa na mpenzi wake pamoja na watoto wake wengine mapacha na kaka yao Cristian Jr
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni