Tetemeko la ukubwa wa alama 7.3
limetokea katika eneo la mpaka baina ya Iran na Irak na kuuwa watu
207 na kujeruhi wengine 2500.
Shirika moja la misaada limeseam
watu 70,000 wanahitaji hifadhi ya dharura baada ya tetemeko hilo
kubwa kutokea katika mwaka huu.
Wengi wa watu waliokufa wanatokea
mkoa wa magharibi wa Kermanshah nchini Iran huku watu wengine wapatao
sita wakiripotiwa kufa Irak.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni