Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp
ameugua kwa mara ya pili na kuibua hofu ya afya ya kocha huyo baada
ya kulazwa hospitali.
Kocha huyo raia wa Ujerumani
alijisikia vibaya jana na kwenda kuonana na madaktari kwa uchunguzi
zaidi.
Taarifa zinaeleza kocha huyo atakuwa
chini ya uangalizi kwa muda wa saa 24 kabla ya kufanyika kwa uamuzi
wa kumruhusu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni