Mchezaji wa zamani wa timu za Celtic
na Manchester United Liam Miller anaugua ugonjwa wa saratani.
Raia huyo wa Ireland amerepotiwa
kurejea nchini kwake akitokea Marekani ambapo amekuwa akipatiwa tiba
ya mionzi.
Miller, ambaye ameshinda makombe 21
akiwa na timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland kati ya 2004 na 2009,
alianzia soka lake Celtic kabla ya kuhamia Old Trafford.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni