Jumatano, 15 Novemba 2017
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI TANZANIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza jambo kutoka kwa Waziri wa Mambo Yandani (Mbunge) Mwigulu Nchemba wakati wa kikao cha Tisa cha Bunge leo Novemba 15/2017 Mjini Dodoma. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China Nchini Tanzani Bibi Wang Ke nakufanya naye mazungumzo ya kikazi ofisini kwake Mjini Dodoma leo Novemba 15/2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni