Serena Williams na mchumba wake
Alexis Ohanian watafunga ndoa yao huko New Orleans katika kituo cha
Contemporary Arts hapo kesho.
Wanandoa hao wanaanda sherehe ya
dola milioni 1 ambayo itahudhuriwa na mastaa wa hadhi ya juu, katika
eneo ambalo hata waalikwa hawajafahamishwa hadi kesho asubuhi.
Miongoni mwa wageni 250 waalikwa
atakuwemo Beyoncé, Jay Z, Kris Jenner, Ciara na rafiki wa kike wa
Prince Harry, Meghan Markle.
Serena Williams akiwa amemkumbatia mtoto wake na Alexis Ohanian
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni