Jumatano, 15 Novemba 2017
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIANA NA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mpiga Picha mwandamizi wa TBC Bibi Mary Hondo katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo Novemba 15/2017 .pembeni kwa Mary ni Msimamizi wa Vipindi TBC Bibi Happinesi Ngasala.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Itilima Mkoa wa Simiyu. Mheshimiwa Njalu Silanga.leo Novemba 15/2017 katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni