Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfafanulia jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara Joyce Sokombi.(chadema) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida Martha Mlata (CCM) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10/2017 kwa mazungumzo ya kikazi.Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni