.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Desemba 2017

FIRMINO AFUNGA MAWILI WAKATI LIVERPOOL IKICHAPA 'MKONO' SWANSEA

Roberto Firmino amefunga magoli mawili wakati Liverpool ikiichapa Swansea isiyonakocha na iliyomkiani kwa magoli 5 bila majibu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza

Katika mchezo huo Philippe Coutinho alifunga goli la kwanza baada ya kunasa pasi ya Mohamed Salah, kabla ya Firmino kufunga la pili na Trent Alexander-Arnold la tatu.

Roberto Firmino aligongeza goli la tatu kisha baadaye Oxlade-Chamberlain akamalizia karamu ya magoli kwa kufunga goli la tano.
                      Roberto Firmino akimalizia kiulaini pasi iliyozaa goli ya Mohamed Salah
           Oxlade-Chamberlain akiachia shuti na kufunga goli la tano katika mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni