.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 13 Desemba 2017

KOCHA ROY HODGSON ASEMA SOKA NI KUWA NA NDOTO BAADA YA KUTUA NAFASI YA NNE


Kocha Roy Hodgson amesema matatizo ya kikosi chake cha Crystal Palace bado hayajaisha licha ya kupata ushindi wa dakika za mwisho wa magoli 2-1 dhidi ya Watford.

Mchezo huo ulibadilika baada ya mchezaji wa Watford, Tom Cleverley kutolewa nje kufuatia kupewa kadi ya pili ya njano katika dakika ya 87.

Bakary Sako aliisawazishia Palace dakika mbili baadaye kabla ya James McArthur kufunga goli la ushindi kufuatia krosi iliyopigwa na Wilfried Zaha.
    Mchezaji Tom Cleverley akionyeshwa kadi nyekundu iliyowagharimu Watford
Kocha wa Burnley Sean Dyche amesema soko ni kuwa na ndoto baada ya kikosi chake kukwea hadi katika nafasi ya nne ya msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa kuifunga Stoke 1-0.
   Mchezaji Ashley Barnes akiachai shuti na kufunga goli pekee katika dakika 71 akitokea benchi 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni