.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 13 Desemba 2017

KOCHA ANTONIO CONTE ASISITIZA CHELSEA HAIPO MBIO ZA UBINGWA

Kocha Antonio Conte ametetea kauli yake ya kuwa Chelsea imetoka katika mbio za ubingwa, hata baada ya kikosi chake kuifunga Huddersfield magoli 3-1.

Chelsea ilikosolewa baada ya kufungwa na West Ham jumamosi, na kumfanya kocha Conte kukiri kuwa haipo tena kwenye mbio za ubingwa wa msimu huu.

Hata hivyo jana Chelsea imefikisha pointi sawa na Manchester United iliyo nafasi ya pili baada ya kupata ushindi wa magoli yaliyofungwa na Tiemoue Bakayoko, Willian na Pedro.
                 Tiemoue Bakayoko akiangalia mpira alioupiga ukigongwa na kujaa wavuni 
   Mshambuliaji Mbrazil Willian akiwa ametikisa nyavu na kuifungia Chelsea goli la pili

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni