Mpango wa kutovumilia kabisa
uchafuzi wa mazingira wa plastiki kwenye eneo la bahari unaweza
kukubaliwa na mataifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa wa
Mazingira.
Serikali zimetakiwa kuchukua hatua
za kuridhia mkataba wa sheria ya kimataifa inayozuia kabisa mabaki ya
plastiki kuingia katika eneo la bahari.
Kwa sasa meli zimekatazwa kutupa
baharini taka za plastiki, lakini hakuna sheria ya kimataifa
inayozuia plastiki kufika maeneo ya baharini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni