.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Januari 2018

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI BUNDA NA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA

Baadhi ya watumishi wa umma, madiwani na wakuu wa Taasisi wilayani Bunda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya hiyo Januari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wananchi wa mji mdogo wa Bunda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Saba Saba katika mji mdogo wa Bunda Januari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Saba Saba katika mji mdogo wa Bunda Januari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamalaka ya Maji Musoma, Mhandisi Said Gantala (kushoto) akitoka kwenye ukumbi wa Balili Rock Resort mjini Bunda baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuamuru kuwa akamatwe na ahojiwe na TAKUKURU Januari 19, 2018.Kulia ni Kamanda wa TAKUKURU wa mkoa wa Mara, Alex Kuhanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni