.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Januari 2018

MANCHESTER CITY YAPATA USHINDI KIDUCHI DHIDI YA BURNLEY

Manchester United imeishinda Burnley kwa taabu kupitia goli pekee lililofungwa vyema na Anthony Martial katika dimba la Turf Moor.

Shambulizi hilo la Martial lilikuwa ni moja kati ya mawili ya kipindi cha pili ambayo yalilenga goli katika mchezo huo ambao haukuwa wa kuvutia.

Baada ya kusakata soka dhaifu katika kipindi cha kwanza, Martial aliachia shuti lililoingia kimiana baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Romelu Lukaku.
  Anthony Martial akiachia shuti kali lililojaa wavuni na kuipatia ushindi Manchester United
     Kiungo Paul Pogba akiwa amemuangukia beki wa Burnley katika kipindi cha kwanza

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni