.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Januari 2018

ARSENAL YAPATA USHINDI NA KUMALIZA GUNDU

Arsenal imemaliza tatizo la kucheza michezo mitatu ya ligi kuu ya Uingereza bila ushindi baada ya kuichagakaza kwa magoli 4-1 timu ya Crystal Palace.

Nacho Monreal alifunga goli la kwanza kwa mpira wa kichwa na kisha kusaidia magoli mengine mawili yaliyofungwa na Alex Iwobi na Laurent Koscielny.

Mshambuliaji Mfaransa Alexandre Lacazette akafunga goli la shambulizi zuri na kufanya matokeo kuwa 4-0, lakini baadaye Luka Milivojevic akaifungia Palace goli pekee.
                          Nacho Monreal akiifungia Arsenal goli la kwanza katika mchezo
                                      Mshambuliaji Alex Iwobi akiifungia Arsenal goli la pili  

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni