.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Januari 2018

MCHEZAJI NYOTA MBRAZILI RONALDINHO ATANGAZA RASMI KUSTAAFU SOKA

Mchezaji aliyetwaa ubingwa wa dunia na Brazili Ronaldinho ametangaza kustaafu kucheza soka, licha ya kutokucheza soka tangu mwaka 2015.

Ronaldinho, 37, alikuwa katika kikosi cha Brazil Katika Kombe la Dunia mwaka 2002, pia alishinda Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2006 na Barcelona na kushinda tuzo ya Balon d'Or mwaka 2005.

Kaka yake na wakala wake Roberto Assis amethibitisha jana kustaafu soka Ronaldinho na kutangaza matukio kadhaa ya kumuenzi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni