Wanafunzi wa kike wa shule nchini
Ghana wamepigwa marufuku kuvuka mto wakiwa katika siku zao za hedhi
pamoja na katika siku za jumanne.
Marufuku hiyo iliyotolewa na mungu
wa mto huo, imewakasirisha wanaharakati, kutokana na kuwa wasichana
lazima wavuke mto ili kwenda shule.
Hii inamaana kuwa wasichana katika
Wilaya ya Upper Denkyira Mashariki, katika Mkoa wa Kati, watakosa
masomo wakiwa kwenye hedhi na siku za jumanne.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni