Baadhi ya mabango yenye ujumbe Maalum unaoelimisha Jamii yaliyotumika katika matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum la kupinga vitendo vya udhalilishaji Nchini.
Wanakikundi cha Mazoezi Wanawake wa timu ya pamoja ya Kikundi cha Mazoezi ya New Life Exercise Club na Kiembe Samaki Fitness Club wakivuta kamba na kushindwa kwenye pambano lao dhidi ya Bandari wanawake.

Binti Mdogo wa Miaka 10 kutoka Vikundi vya Mazoezi vya New Life Exercise Club na Kiembe Samaki Fitness Club, Ahlan Saleh akionyesha umahiri wake wa kuusarifu mwili wakati wa mazoezi ya Mchezo wa Yoga kwenye Bonaza la Michezo lililofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akitoa vyeti Maalum kwa Vikundi na Taasisi zilizosaidia kufanikisha Matembezi ya Bonanza la Michezo hapo Uwanja wa Amaan.
Wa kwanza kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud. Picha na – OMPR – ZNZ.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni