.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 24 Februari 2018

CRISTIANO RONALDO AIONGOZA REAL KUICHAKAZA ALVES

Cristiano Ronaldo ametumbukiza wavuni mpira mara mbili akiisaidia Real Madrid kuichakaza Alaves kwa magoli 4-0 katika mchezo wa ligi ya La Liga.

Ronaldo alikuwa na nafasi ya kufunga magoli matatu yaani hat-trick kupitia mkwaju wa penati lakini alimuachia Karim Benzema ambaye alifunga kwa shuti kali.

Awali Benzema alipika magoli mawili moja kwa pande la kisigino kwa Ronaldo na lingine akimpatia pasi Gareth Bale baada ya mapumziko.
   Cristiano Ronaldo akimpongeza Gareth Bale baada ya kufunga goli la haraka katika kipindi cha pili
   Gareth Bale akianguka baada ya kuchezewa rafu na kusababisha penati iliyozaa goli la nne

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni