.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Februari 2018

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

Wamiliki wa mbwa wakiwatuliza mbwa wao waliokuwa wakigombana wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chama cha Wafugaji wa Mbwa Tanzania kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Nsato Marijani akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Chama cha Wafugaji wa Mbwa Tanzania kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mwami Mlangwa.
Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Nsato Marijani akionesha vyeti vya usajiri vya Chama cha Wafugaji wa Mbwa Tanzania (TCA) kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.Kushoto ni Katibu wa TCAL, Mwami.
Kikosi cha polisi cha mbwa kikipita wakati wa kuonesha shoo ya mbwa hao
                                                                                    Mbwa wa Polisi akiruka kiunzi
                                                                        Mbwa wa Polisi akikamata mhalifu
                                     Shoo ya mbwa wa kufugwa wakipitishwa na wamiliki













Mdau wa chama cha TCA, Deo Rweyunga akizungumza kuhusu ufugaji bora wa mbwa hao

Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Nsato Marijani akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TCAL

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni