
Polepole akionyesha furaha yake baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo la Uhuru

Mhariri Mtendaji wa zamani Joseph Kulangwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali wakifurahia nakala ya Uhuru lenye muonekano mpya baada ya kuzinduliwa muonekano huo
Polepole akilifurahia nakala ya Uhuru akiwa akiwa na viongozi kadhaa wa UPL na waalikwa baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo Polepole akilifurahia nakala ya Uhuru akiwa akiwa na viongozi kadhaa wa UPL na waalikwa baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo Polepole akilifurahia nakala ya Uhuru akiwa akiwa na viongozi kadhaa wa UPL na waalikwa baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo Baadhi ya wafanyakazi wa UPL wakiwa na nakala za gazeti la Uhuru lenye muonekano mpya. Wapili kushoto ni Mhariri wa habari wa Uhuru FM Pius Ntiga Polepole na wafanyakazi wa UPL na waalikwa wakiendelea kulitazama gazeti hilo la Uhuru lenye muonekano mpya. Polepole akimshukuru Kulangwa kwa kuhudhuria hafla hiyo. Kushoto ni Said Nguba Polepole na msafara mzima wakienda chumba cha habari kujadili muonekano mpya wa gazeti hilo Polepole na msafara mzima wakienda chumba cha habari kujadili muonekano mpya wa gazeti hilo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji Ndugu Kangero wakati msafara ukienda katika chumba cha habari Kangero akiongoza msafara kuingia katika chumba cha habari cha UPL Polepole, Watumishi wa UPL na wageni waalikwa wakiwa wamesimama kufanya dua kabla ya kuanza kulijadili Uhuru Kila mmoja akiwa makini kulisoma Uhuru wakati wa mjadala Kila mmoja akiwa makini kulisoma Uhuru wakati wa mjadala
Kila mmoja akiwa makini kulisoma Uhuru wakati wa mjadala Mkutubi wa UPL Mussa Salmin akilipitia kwa makini gazeti la Uhuru
Kaimu Naibu Mhariri Mtendaji wa UPL Rashid Zahor akilipitia kwa makini gazeti la Uhuru. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji Roda Kangero Wahariri watendaji wa zamani wa UPL Said Nguba na Joseph Kulangwa wakipita gazeti hilo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM angel Akilimali Kaimu Mhariri Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM Angel Akilimali akilisoma kiwa makini gazeti la Uhuru

"Unaona hiyo?" Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero akimuonyesha moja ya habari picha Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole alipokuwa akipitia nakala ya gazeti loa kwanza la Uhuru lililoanza kuchapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1961 Polepole akilitazama kwa makini nakala hiyo ya kwanza ya gazeti hilo la Uhuru "Ohhh... very nice" akasema Polepole wakati akitazama nakala ya gazeti hilo la uhuru la mwaka 1961 "Safi sana,," akasema tena Polepole Polepole akionyesha nakala ya gazeti la kwanza la Uhuru la mwaka 1961. Kulia ni Kangero Mtangazaji wa Uhuru FM Ndugu Amina akisoma gazeti la Uhuru kwa makini Mjadala wa gazeti ukiendelea Mhariri Mwandamizi wa UPL Jane Mihanji (kushoto) akifuatilia kwa makini mjadala wa gazeti sehemu ya mengineyo. Kulia ni kaimu Mhariri wa Makala Selina Wilson Ndani ya chumba cha habari cha UPL wakati mjadala ukiendelea Mhariri Mtendaji wa zamani Said Nguba akisoma kwa makini nakala ya Uhuru lenye muonekano mpya Mfanyakazi wa Idara ya |Matangazo UPL akiuliza jambo kuhusu uboreshwaji wa upande huo kwenye gazeti la UPL Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru Ndugu Poloepole akiagana na Ndugu Masota wakati akiondoka. Kushoto ni Ndugu Rhoda Wafanyakazi wa UPL wakiwa katika picha ya kumbukumbu baada ya uzinduzi huo wa muonekano mpya wa gazeti la Uhuru. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni